Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 798
- 2,028
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa;
Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo. Inasemekana msanii Huyu alikuwa anampigia video call Paula (step daughter wake)
Video clip hizo zasambazwa katika magroup mbali mbali ya WhatsApp,
Record label yake ya zamani washangilia na kushadadia kuvuja kwa video hizo wakidai Harmonize alitaka kumsababishia matatzo kijana wao (Rayvanny) kwa kutaka kumstaki kwa kosa la kuvujisha video nyingine akiwa na binti huyo huyo( Paula),
Wadau mbalimbali wasema atakayekuwa affected sana na hii issue ni binti (Paula) maana bado mdogo lakini haishiwi skendo;
Kajala na binti yake saa hizi wapo Dubai wakila bata kali huku ikisemekana Mdhamini wa Bata Hilo ni Rayvanny ili kumkomoa mhasimu wa WCB bwana Konde boy
Wadada wengi Instagram waishia kusifia nyeti za kijana huyo wa kimakonde kuwa zinafaa kwa matumizi yao
Nini maoni yako katika sakata hili la wasanii wetu wanao insipire vijana mtaani?