Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zaavujishwa;

Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake( bongo movie )akishirikina na maasimu wa msanii Huyu wavujisha picha hizo...
Kichwa cha habari na ulichoa andika haviendani.
 
Hamna muziki hapa..

Muziki wa Bongo bwana unazingua sana..

Hafu mashabiki nao wanataka wazione nyeti za jamaa. Nyeti. Duh.

Hii kiki ikimtoa uyu utakuta wasanii kibao nao wataiga.
 
Majani alisema hatahusika Tena na maswala ya kimaadili ya mtot huyu anamwachia mama yake
Yeye atatoa huduma nyingine tu
Wewe mtoto anakupangiaje taratibu za kumlea, labda kama hatoi hata cent za kumlea, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, kajiweka mbali ina maana yeye anajua anaepata aibu ni mtoto na mama yake tu, hii aibu majini haimuweki pembeni anatakiwa ajitasmini, la kwanza alikaa kimya limekuja kujirudia lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shido shido shidowaaa shidowanobadeeee

wani taimu fo ma bebe tuu fo mabebee thrii fo mabebe ol naiiiit

Aisee Konde to the world. Amejua kuwashikaaaa na mbaya zaidi walitegemea ataumbuka kumbe ana mdushe mkubwa imegeuka mtafutano wale wadada wapenda mijihogo mikubwa wanatoa udenda.

Mwisho wa siku Kajala ni mjinga.
 
Back
Top Bottom