Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

PLANNED TUKIO ILI MTU ATREND ZAKE HUKO, NYIE MNAKAZANA NI VIUNGO VYAKE, HATA HIZO CHATS NO WONDER ZINAWEZA KUTENGENEZWA

sisi tutajuaje ndio yeye kweli? sura yake imeonekana?
 
Kwani Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo inasemaje?

Kama magazeti yalifungiwa inakuwaje hawa wasanii wasio na maadili wanaachwa kueneza upuuzi mitandaoni?

Kama ni kweli Wizara husika /basata ifanye kazi yake ili kukomesha kiki zisizo na staa /utu na kudhalilisha.

Hii sio sawa, ni ujinga kukubali au kushabikia ujinga uenee kwa kasi.

Nini funzo kwa vijana wetu,hata kama ni kuimalisha BRAND hii haiwezekani.

Bora wangejitoa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu kusaidia wasiojiweza, hilo nalo wameshindwa?
 
Wote humu hamna Connection wajameni?
Mkuu connection za kusambaza upumbavu?
Tena Basata washushe na rungu la kuzuia pornographic music ndio dawa yao, maana waliachwa sasa wanaanza kuonesha dudus zao....mitandaoni na kashfa zisizo na kichwa wala miguu.
 
Inasemekana
Inasemekana
Inasemekana
Inasemekana


Huyo Harmonize na mwenzake Rayvan wafanye kazi ya sanaa ndiyo watu wanahitaji na sio kuchambana mitandaoni utasema mke wa shamte na Mama dangote wanagombea mume.
Wanyakyusa muonyeni huyo mtoto wenu kuwa huo sio utamaduni wenu, asianze kuiga mambo ya watu wa pwani hatafika mbali!!
 
Back
Top Bottom