Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Hili kundi nilishalichoka sasa lina mambo ya kimbea badala ya kazi mwanzo nilikuwa nalikubali
Kunguru wa Manzese Wcb sio kundi ni record label inayomilikiwa na msanii Diamond ambaye amewaajiri wasanii kama mbosso, Zuchu Lavalava na Rayvanny, producers Tudd thomas na laizer, dancers,IT na managers unaposema Wcb nzima inapambana na harmonize sijakuelewa unamaanisha nini?umemuona mwenye label ameingilia hiyo issue ya Rayvanny vs Harmonize? au mbosso au Zuchu kama si hivyo kwanini useme Wcb inapambana na harmonize au kondegang au wewe unaelewa nini ukisema Wcb nzima?
 
Yakichanganywa ya dabliyu si bii ndio linapatikana la harmo.....

Nyie msione mwanamke anamganda mwanaume tunaanza hivi huyu nae si amove si amove unamove wapi mbele ya lile dude la punda.?
Yani rasmi nimewaelewa Wolper, Sarah na mama zuu πŸ™Œ
 
Yakichanganywa ya dabliyu si bii ndio linapatikana la harmo.....

Nyie msione mwanamke anamganda mwanaume tunaanza hivi huyu nae si amove si amove unamove wapi mbele ya lile dude la punda.?
Yani rasmi nimewaelewa Wolper, Sarah na mama zuu [emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti amove on pale hamna cha kumove on asee[emoji848][emoji848]
 
Hapana tafadhali ni wcb wote anawazidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wanaume kama hamo wachache sana
Ngoja ninyamaze mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…