Video na picha zinazodaiwa ni za Harmonize zasambaa kwenye mitandao

Narudia tena Corona iishe mpate tour za nje na vihela maaake tunapoelekea ipo siku Vanboy na Harmo mtafixana kutafuta kiki.
 
na salam je ? me sina timu mkuu me msema ukweli...
Sallam sk na harmonize Wana bifu muda mrefu tangu harmonize yupo Wcb Hilo sio la kushangaa ingekuwa mwenye label kaingilia Hiyo issue ningekubali so hiyo mantiki ya kusema Wcb nzima inapambana na harmonize inatoka wapi?
 
Atimaye babalevo aitwa basata kesho na mapema issue kubwa inaweza kuwa nyimbo yake

Dis track kwa harmonize,
 
Anataka kushtaki watu wa instagram, wewe kaa hapo , kama ule utupu ni wake maisha Yatakuwa magumu kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…