MISS NATAFUTA...bado unatafuta..mi ndo naiona..ndo umeiona?
Bado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu. Hii dini iko weak sana sana.
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo Ni Hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele kuashiria anatolewa Mapepo.
Kama una [emoji442] vaa utaskia vizuri mkuu.Naona kuna kitu kimenipita. Sijapaona anapompanga. Naomba unionyeshe.
Kama una [emoji442] vaa utaskia vizuri mkuu.
Ni vyema ukaskiliza mwenyewe uskie kuliko kuambiwa aidha, kama kuhusu alichoambiwa soma post za wadau juu utaona alichoambiwa.Kamwambiaje?
Ni vyema ukaskiliza mwenyewe uskie kuliko kuambiwa.
Aidha, kama kuhusu alichoambiwa soma post za wadau juu utaona alichoambiwa.
Thanks.