Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo ni hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele kuashiria anatolewa Mapepo.

 
Hizi dini dini hizi zinazoota kama uyoga ni shida sana eti wanasema eti Mungu anafanya miujiza,miujiza muifanye nyie dunia ya leo? Khaaah!!

Mbona mi nishashtukia kitambo sana zamani miaka ya nyuma sana walikuwa wanawapanga watu wawe walemavu wakija kuwaombea wapone na watembee nikamuona jirani yetu kabisa eti kapangwa ni ajifanye mlemavu aombewe baadae apone na atembee kudadeki sana!!!
 
Hivi wakati wa yesu wanawake hawakuwepo kama walikuwepo mbona kati ya wanafunzi 12 wa yesu hakukua na mwanamke hata mmoja hawa wanawake wanaojiita wachungaji wanaitoa wapi/wanachukulia mfano gani?

Ina maana yesu alikua mbaguzi? Aliendekeza mfumo dume? hapana,ipo hekima.
Sio kama hawana uwezo,la! ila sio kazi yao wana namna nyingi ya kulitangaza neno la Mungu na sio lakini sio hii wanayoitumia.

Mushkeli unaanzia hapo,kwa upande wangu.
 
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo Ni Hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele kuashiria anatolewa Mapepo.




Naona kuna kitu kimenipita sijapaona anapompanga naomba unionyeshe.
 
Ni vyema ukaskiliza mwenyewe uskie kuliko kuambiwa.

Aidha, kama kuhusu alichoambiwa soma post za wadau juu utaona alichoambiwa.

Thanks.

Ningeshukuru ungeniambia kusoma zote sina uwezo si unaju ajua tena ni muda wa majukumu, nafanya kujipotezea potezea tu kwa muda mfupi mfupi.
 
Back
Top Bottom