Dini ipi ?Bado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu hii dini iko weak sana sana.
Ni kweli, hata biashara ya dini hawana.Mimi ni mkristo lkn dini ya kiislam naikubali sana
hainaga mambo mengi.
MGEN umeona Dini ya uongo? Ndiyo hii...Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo ni hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele kuashiria anatolewa Mapepo.
Kwani wewe uliiona libi??ndo umeiona?
Usimsikilize. Ndo keshaanza kumtetea...Ni vyema ukaskiliza mwenyewe uskie kuliko kuambiwa aidha, kama kuhusu alichoambiwa soma post za wadau juu utaona alichoambiwa.
Thanks.
AhsanteniNi kweli, hata biashara ya dini hawana.
Nami ni mkristo
Na ndio maana wanaipakazia kumiliki majini ili waumini wa kikristo wanaoshtuka wasije wakajiunga nayo...Mimi ni mkristo lkn dini ya kiislam naikubali sana
hainaga mambo mengi.
Dini ya MGEN na DAVINCI.Dini ipi ?
Biashara kama zingine tu ila hii ni mbaya zaidi hata kiuchumi, mijamaa haifanyi kazi, Ulongo Ulongo tu daily, wajinga wao wakiwachangia.Hizi dini dini hizi zinazoota kama uyoga ni shida sana eti wanasema eti Mungu anafanya miujiza,miujiza muifanye nyie dunia ya leo? Khaaah!!
Mbona mi nishashtukia kitambo sana zamani miaka ya nyuma sana walikuwa wanawapanga watu wawe walemavu wakija kuwaombea wapone na watembee nikamuona jirani yetu kabisa eti kapangwa ni ajifanye mlemavu aombewe baadae apone na atembee kudadeki sana!!!
Ukiwafahamu hao, utaedit maandishi yako.....ni vizuri kuendelea kukaa gizani!wewe kama mimi... hasa harusi na misiba.. hapo nawakubali sana waislam... akitokea shehe feki wanamcharaza bakora