Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Video: Nabii Olivia asikika akimpanga muumini apige kelele kuashiria anatolewa mapepo

Duh! Aiseee noma sana dini hizi ila utaona mijitu inazidi kwenda pumbavu kabisaaaaa
 
Pkokeni achaneni na kulia lia na dini, Hakuna kitu kama dini hata Yesu alipokuja alikuta watu na dini zao lakini hazikuwasaidia ndiposa akawapatia wokovu ili kwenda mbinguni:

Note:Jina tulilopewa ni YESU na si MWAMEDY, MARIA, YOSEFO WALA PAPA.

Na waabuduo sanamu sehemu yao ziwa la moto.

Mara nyingi hawa jamaa zangu wanaabudi sanamu ukiwaambia wanakwambia hatuabudu ila tunaheshimu

Ni kweli unachosema aisee lile ni sanamu la mzungu tu nashangaa watu wanaliabudu na kuliomba wakilipigia magoti na haitoshi wakaona waliweke mpaka kwenye nyumba zao za ibada waliabudu vizuri ili ibada yao itimie kwa kuabudu sanamu.

Ujinga ni ujinga tu kamwe haufutwi kwa kwenda shule unaweza kwenda shule na bado ukabaki kuwa mjinga tu.

Ni hatari sana.
 
Bado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu hii dini iko weak sana sana.
Dini? What does this have to do with dini? Tatizo ni haya madhehebu ya kijinga ya siku hizi mtu unakurupuka tu na kuanzisha kanisa lako
 
Hivi wakati wa yesu wanawake hawakuwepo kama walikuwepo mbona kati ya wanafunzi 12 wa yesu hakukua na mwanamke hata mmoja hawa wanawake wanaojiita wachungaji wanaitoa wapi/wanachukulia mfano gani?

Ina maana yesu alikua mbaguzi? Aliendekeza mfumo dume? hapana,ipo hekima.
Sio kama hawana uwezo,la! ila sio kazi yao wana namna nyingi ya kulitangaza neno la Mungu na sio lakini sio hii wanayoitumia.

Mushkeli unaanzia hapo,kwa upande wangu.
wakati wa Yesu walikuwa wanawake Mariam maddelena na Mariam yule
 
Ukiwafahamu hao, utaedit maandishi yako.....ni vizuri kuendelea kukaa gizani!
Keshawafahamu. Wewe tu na shetani wako wa kikrisro kichwani anayetaka uende motoni ndio hutaki kuujua uislam.
Tatizo unasoma quran kwenye mtandao ambao wamechomeka maandishi ya uongo kuhusu uislam.
Mara muwaite wauaji.....wakati muuaji mkubwa mnaye hukohuko kwenye ukristo....
 
Nimeona clip nyingine eti anaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwenye hiyo video ya maombezi. ......

Eti ni kitu amekuwa akifanya muda mrefu....

Pia hili limetokea kwa sababu Mungu ameamua watu wengi wenye shida waende kanisani kwake kuombewa
 
Ngoja nieleke hapo nianze kumtafuna huyo mama na mimi nile sadaka
 
Na bado wapuuzi wengine wanapiga makofi huko nyuma.
Nilienda kanisa moja hivi. Nilipoingia kila mtu nikakuta anatetemeka anaashiria ana mapepo. Nikajikuta mwenyewe tu ndo sina Mapepo..Nikacheka sana. Nikatoka nikaondoka.. Usikute hapo na sadaka wataacha. [HASHTAG]#wajingandowaliwO[/HASHTAG]
 
Na nyie mnaolaumu dini ni wale wale tu, dini inaingiaje lawamani hapa.

Utapeli ni utapeli tu na unafanywa na yeyote na kama anataka kutumia dini ndio anachagua mazingira salama kwake.

Kama kwenye ukristo wapo Matapeli wengi vile vile wanaotumia uisilamu, ndio utasikia yale mambo ya kutoa majini n.k.

Mwisho wa siku makundi yote yanapata Wajinga wao na kuendesha maisha yao.
 
Na bado wapuuzi wengine wanapiga makofi huko nyuma.
Nilienda kanisa moja hivi. Nilipoingia kila mtu nikakuta anatetemeka anaashiria ana mapepo. Nikajikuta mwenyewe tu ndo sina Mapepo..Nikacheka sana. Nikatoka nikaondoka.. Usikute hapo na sadaka wataacha. [HASHTAG]#wajingandowaliwO[/HASHTAG]
Wapi lipo kanisa la kutetemeka ?
 
Back
Top Bottom