Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pkokeni achaneni na kulia lia na dini, Hakuna kitu kama dini hata Yesu alipokuja alikuta watu na dini zao lakini hazikuwasaidia ndiposa akawapatia wokovu ili kwenda mbinguni:
Note:Jina tulilopewa ni YESU na si MWAMEDY, MARIA, YOSEFO WALA PAPA.
Na waabuduo sanamu sehemu yao ziwa la moto.
Mara nyingi hawa jamaa zangu wanaabudi sanamu ukiwaambia wanakwambia hatuabudu ila tunaheshimu
Dini? What does this have to do with dini? Tatizo ni haya madhehebu ya kijinga ya siku hizi mtu unakurupuka tu na kuanzisha kanisa lakoBado nakomaa tu japo wengi mtatoka povu hii dini iko weak sana sana.
Taratibu na iman za watu bossNa bado mijinga imejaa kule nyuma imekaa tu. Ila ipo siku wataelewa tu.
In Shaa Allah.
wakati wa Yesu walikuwa wanawake Mariam maddelena na Mariam yuleHivi wakati wa yesu wanawake hawakuwepo kama walikuwepo mbona kati ya wanafunzi 12 wa yesu hakukua na mwanamke hata mmoja hawa wanawake wanaojiita wachungaji wanaitoa wapi/wanachukulia mfano gani?
Ina maana yesu alikua mbaguzi? Aliendekeza mfumo dume? hapana,ipo hekima.
Sio kama hawana uwezo,la! ila sio kazi yao wana namna nyingi ya kulitangaza neno la Mungu na sio lakini sio hii wanayoitumia.
Mushkeli unaanzia hapo,kwa upande wangu.
Keshawafahamu. Wewe tu na shetani wako wa kikrisro kichwani anayetaka uende motoni ndio hutaki kuujua uislam.Ukiwafahamu hao, utaedit maandishi yako.....ni vizuri kuendelea kukaa gizani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hawa waumini waliokaa huko nyuma hawana tofauti na wafuasi wa ccm
hahah ila swala sio kuwa mambo mengi. je ni kweli?Mimi ni mkristo lkn dini ya kiislam naikubali sana
hainaga mambo mengi.
Tatizo ni kwenye ugaidi na kutafuna mabikira 72 peponiMimi ni mkristo lkn dini ya kiislam naikubali sana
hainaga mambo mengi.
Wapi lipo kanisa la kutetemeka ?Na bado wapuuzi wengine wanapiga makofi huko nyuma.
Nilienda kanisa moja hivi. Nilipoingia kila mtu nikakuta anatetemeka anaashiria ana mapepo. Nikajikuta mwenyewe tu ndo sina Mapepo..Nikacheka sana. Nikatoka nikaondoka.. Usikute hapo na sadaka wataacha. [HASHTAG]#wajingandowaliwO[/HASHTAG]