Video: Najiba akiuwawa Kikatili kwa kosa la Uzinzi

hongera sana kwa kitu hiki natamani ingekuwa tanzania lakini nao watu wanalaumu mke au mme wa mwenzio sio wako na hauna haki ya kutembea naye
 

Ubinaadamu unakuwepo kwa anaekamatwa na uzinzi tu? Hebu tujiulize uchomwaji wa vibaka na kuwapogowa wenzetu maalbino kunakuwaje????
 

Sidhani kama wamemwonea, ni sheria ya dini yake. Kama angalikuwa mfuasi wa Kristo ndio wangekuwa wamemuonea. Amepata alichochagua.

Hata hapa leo utasikia mwanamke m1 akisema ni haki ya mwanaume wake kuwa na wake 6 na yeye akasherehesha kuwa hiyo ni vyema na haki kwa mujibu wa Mungu wake. Na huyo akipata ukimwi kupitia network ya mume wake, tutasema ameonewa?
 
Ubinaadamu unakuwepo kwa anaekamatwa na uzinzi tu? Hebu tujiulize uchomwaji wa vibaka na kuwapogowa wenzetu maalbino kunakuwaje????

Wewe hujawahi kuzini?

Waliozini naye wako wapi, mbona hatuoni wakiuawa hapa pamoja naye?

Na ni ujinga kulinganisha mauaji ya vibaka na albino na haya aliyofanyiwa huyu mwanamke. Albino na vibaka wanauliwa KIUHALIFU na ndio maana wauaji wanajificha, huyu kauliwa kwa hukumu ya mahakama zenu za ajabu ajabu zinazomhukumu mwanamke huku mwanaume aliyemtongoza na kummeng'enyua akitesa mtaani.

Hata huyu mungu wenu naye nina mashaka naye
 
Naomba mahaka ya kadhi ianze fasta, tuta shuhudia watu wakibadiri dini kwa kasi ya ajabu sana.
 
hii thread imekaa kidini zaidi!! sijacheki link maana sipendi ukatili even in the name of religion. punguzeni jazba hii ni matokeo ya kutumia sharia, no exceptions:A S cry: :A S cry:, hata biblia inasema mwanamke asiyebikra siku ya harusi arudishwe nyumbani kwao na apigwe mawe. (sijui mngepona wangapi). haitokei kwetu maana hakuna nchi inayoenforce sheria za bible kiasi hiki (hata Vatican kwa papa hawauwi wazinzi).
Nauliza, mwanaume pia aliuwawa au 'hakukutwa na hatia'
 


Hapo ndio utaona tofauti ya mapokeo ya kidini!!! Usishangae kukuta aliyemuua ndiye aliyezini nae....!!! Haya ndio yanayopiganiwa kuingizwa katika katiba mpya....kweli tutafika????
 

Na kwa nini sheria inaangalia upande mmoja tu.Je kwa mwanaume aliyezini na huyo mwanamke alichukuliwa hatua gani?
 
Qurani yenyewe inawapiga chenga wanafahamu tu hiyo mistari ya uhaini. "NO WORD LOVE IN THIS PATHETIC RELIGION"
 
Huenda alimtongoza na alipokataliwa akamzushia uzinzi ili auwawe. Wapi mwanaume aliyezini nae?
 
Hope wamemuua na huyo mzinzi mwenzake kwani zinaa ni zinaa tu haijalishi ni nani kafanya na wapi
 
Qurani yenyewe inawapiga chenga wanafahamu tu hiyo mistari ya uhaini. "NO WORD LOVE IN THIS PATHETIC RELIGION"

kuwa na heshima unapoongelea vitu vinavyohusu au vinavyogusa moja kwa moja imani za watu na usipende kusemea vitu/watu/vitabu usivyovijua.
Uislamu haujaja kumkandamiza mwanadamu kama kweli mwanadamu ataifuata hii dini bali imekuja kumkomboa mwanadamu. Soma au uliza uone jinsi uislamu ulivyo mzuri na unavyoheshimu heshimu haki ya kila kiumbe hata mnyama ana heshima yake..njia pia ina haki zake na mengi mengine ambayo unaweza hisi ni madogo but Quran imetoa haki kwa hivyo vitu
 
Wanajamvi napenda kuwashauri muendelee kufuata mnavyoviamini kuliko kuanza kukashifu dini za watu,wewe kama unaamini ng'ombe ni mungu ilimradi una yakini juu ya hilo wewe endelea nalo tu. Turudi kwenye hoja hii yenye lengo la kuchafua dini yangu ya kiislam,jamani kwa mujibu wa Quraan tukufu mzinzi wa kiume na wakike ambao hawapo kwenye ndoa kama huyo dada hapo juu ni kuchapwa viboko 100 tena kuna namna ya kuchapa viboko hivyo siyo kuchapa kama unapiga mwizi. Hiyo nchi wamejiwekea utaratibu wao wa kuadhibu wa zinzi na wala hauna uhusiano na dini ya kiislam kwa mujibu wa Quraan.Tuwe wa kweli jamani mbona ndoa za mashoga zimeshamili makanisani ulaya na nchi baadhi za afrika hili hatulisemi?je ndiyo biblia inaruhusu ushoga? Mapadri wanalawiti watoto kil kukicha huko ulaya (Na hata Tanzania kuna mikasa ishawahi ripotiwa je ndiyo dini inasema hivyo?) Wewe endelea na ukristo wako,yule aendelee na upagani wake na mimi niacheni na uislamu wangu. Hizi chokochoko za kukashifiana huwa hazina mwisho mzuri hata kidogo.
 
Nadhani mahakama ya Kadhi haitatoa hukumu kama hizi siku za mbeleni itakapo-gain power.
 
Mungu atakuwa na kazi sana siku ya kiama, maana atashindwa wengine awahukumu kwa vifungu gani.
Hii dini ya mfume dume, ni onevu sana.
Je huyo mwanaume aliyefumwa naye mbona hayupo kwenye adhabu.

Kwa kweli kunaumuhimu kabisa ya kwenda kukomboa hawa wanyama kifikra.
Mungu atuepushe na unyama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…