Video: Najiba akiuwawa Kikatili kwa kosa la Uzinzi

Video: Najiba akiuwawa Kikatili kwa kosa la Uzinzi

Wanaume walikuwa wapi? Au alikuwa anazini mwenyewe?
 
You are the pig yourself! I suppose, ...

The worse and devilish pathetic religion...they preach hatred, vengeance and murder...their heart and souls are possed by death angel..GOD knws how i dis these pigs..!
 
Ukiwa mjinga kwenye jambo fulani unauliza tu, lakini uislamu hauruhusu uzinifu, ukizini na una mke unauwawa kwa kupigwa mawe, ukizini hujaoa unapigwa viboko 80. Watu hawauliwi kwa kupigwa risasi hiyo ni utaratibu wa nchi labda. Lakini humu mmeshasema sana wala rushwa wauwawe, au siyo nyie? sasa niulize ukikuta mtu amekula rushwa bilioni moja ya madwa watu wakafa kwa kuzikosa, na ukakuta mtu amelala na mke wako ameshamaliza round kadhaa ni yupi utataka auwawe kwanza?

Nadhani mahakama ya Kadhi haitatoa hukumu kama hizi siku za mbeleni itakapo-gain power.
 
Mi sidhani kama ukiwa muislamu unakuwa na low thinking capacity, huo ni upuuzi tu, na kama huamini tuweke hapa paper ya kupima brain yako wewe na mimi mwislamu ukinishinda, nahama na nchi kabisa, wewe hata hivyo you think small una argue kijinga sana.
Ukoo wetu ipo kiapo kabisa ukiolewa nao unakufa ucku wa harus au ucku wa kwanza kuishi na huyo mwanaume wa kipepo! They are so weak, irrational and becoming the believer it reduces ur thnking capacity automatically!
 
Back
Top Bottom