Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

Mr Big

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
479
Reaction score
922
Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga.

Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni facts,

Plz watch out!

Uhuru wa kujieleza unapatikana tu kwenye mataifa yaliyoendelea. Sipati picha kama hii ingelitendeka huku bongo hali ingekuaje.
Hata Uhuru wa kuchapwa na POLISI na kuuliwa hovyo, pia utaupata katika failed states kama Kenya.

Jadili alichokizungumza, acha kukimbia ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kampongeza ruto?acha kuhisi hivyo mkuu
Kampongeza kwa kipi alichofanya wakati anasema mchague ruto sijui nini kwani ruto si yuko serikalini aimpliment hayo mawazo yanayofanya uhuru aonekane ni muuaji!
 
Sasa Kama uhuru wa kijieleza mbona anahofia kushikwa ?mtu kajitoa mhanga munapiga debe hapa uhuru wa kujieleza Kama kweli huko munao uhuru wa kujieleza sema na wewe
Uhuru wa kujieleza unapatikana tu kwenye mataifa yaliyoendelea. Sipati picha kama hii ingelitendeka huku bongo hali ingekuaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom