Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

Sijahangaika kutazama video yenyewe lakini nafahamu zipo nyingi kama hizi, inaonyesha jinsi gani kuna ukomavu kwenye uhuru wa kujieleza hapa kwetu, ingekua kwenye majirani zetu, huyu angekutwa amesindikwa ndani ya mfuko na kutupwa mtoni au baharini.
 
Duuh, kumbe hili la ulevi wa Pombe ni kweli aisée....
Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga.

Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni facts,


Plz watch out!

 
Back
Top Bottom