Video: Nchi kama hii kuendelea ni majaliwa

Video: Nchi kama hii kuendelea ni majaliwa

.
 
Attachments

  • Screenshot_20240612-184740_Gallery.jpg
    Screenshot_20240612-184740_Gallery.jpg
    532.6 KB · Views: 3
Mimi Mjanja M1 nimeishi MAREKANI, UINGEREZA na CHINA. Kote huko sijaona mambo ya ajabu kama haya.

View attachment 3015601
Hiyo ni Kitchen party, It's a part of our Customs a little bit modernized ukilinganisha na zamani ila bado tunayo hiyo
You guys mnafikiliaga tu wazungu ndo wako civilized kiivyo kiasi mnaona ili tufanikiwe we have to abandon our culture, Uo ni upuuzi !!
 
Marekani na china na Uingereza Wana mambo ya hovyo sana hata usingewatolea
Hao ni kina mama wanafurahia maisha angalau machache waliopewa hapa duniani penye fujo za Kila aina acha wa enjoy japo kidogo baada ya hapo watapiga mziki na kucheza hadi watoke jasho nimewapenda
 
Hiyo ni Kitchen party, It's a part of our Customs a little bit modernized ukilinganisha na zamani ila bado tunayo hiyo
You guys mnafikiliaga tu wazungu ndo wako civilized kiivyo kiasi mnaona ili tufanikiwe we have to abandon our culture, Uo ni upuuzi !!
Well said 👏👏👏
 
Sioni kosa lipo wapi hapo. Hizo ni tamaduni zetu za baadhi ya makabila mengi sana hapa Tanzania kufanya hivyo. Kwa hiyo mnataka kila kitu tuanze kuiga Ulaya, Asia na Marekani?

Hapa ndipo ninapomkubali Mhindi, alitawaliwa lakini alibaki kuendeleza tamaduni yake mpaka leo, ila sisi tunataka kila kitu tuige utamaduni wa wenzetu.
 
Back
Top Bottom