Video: Ndugu wa Humphrey Polepole wafika kwenye nyumba 'aliyotekwa' kuhamisha vitu

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na mama yake mzazi Mama Anna Marry Polepole leo, Jumanne Januari 06.2025 wamefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao aliyetekwa karibu miezi mitatu iliyopita

Ndugu hao wamefika kwenye nyumba hiyo wakiwa wameongozana na Wakili William Maduhu kwaajili ya kuhamisha vitu vya Humphrey Polepole.
 
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na mama yake mzazi Mama Anna Marry Polepole leo, Jumanne Januari 06.2025 wamefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao aliyetekwa karibu miezi mitatu iliyopita

Ndugu hao wamefika kwenye nyumba hiyo wakiwa wameongozana na Wakili William Maduhu kwaajili ya kuhamisha vitu vya Humphrey Polepole,

Pia Soma: Humphrey Polepole adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na mama yake mzazi Mama Anna Marry Polepole leo, Jumanne Januari 06.2025 wamefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao aliyetekwa karibu miezi mitatu iliyopita

Ndugu hao wamefika kwenye nyumba hiyo wakiwa wameongozana na Wakili William Maduhu kwaajili ya kuhamisha vitu vya Humphrey Polepole,

Police hata kufanya tu forensic investigation ya uongo hawakufanya.
 
HIVI YULE KICHAA AMBAYE AMEJIFICHA TOKA 29/10/2025 ANAJISIKIAJE KUONA NDUGU WA POLEPOLE WANAHANGAIKA HIVI?ANGEKUWA NI ABDUL KAFANYIWA KAMA POLEPOLE ANGETULIA TU BILA KUCHUKUA HATUA?HUU NI WAKATI WA KUFANYA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO KUMWONDOA HUYU KICHAA.
 
Kuna jambo Mungu aliniambia limemkasirisha kuhusu taifa hili
 
HIVI YULE KICHAA AMBAYE AMEJIFICHA TOKA 29/10/2025 ANAJISIKIAJE KUONA NDUGU WA POLEPOLE WANAHANGAIKA HIVI?ANGEKUWA NI ABDUL KAFANYIWA KAMA POLEPOLE ANGETULIA TU BILA KUCHUKUA HATUA?HUU NI WAKATI WA KUFANYA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO KUMWONDOA HUYU KICHAA.
Solution miliki chuma, ukiwa na grenade na gun kina Mulilo na mafero unamwaga ubongo
 
Hiyo familia kutozifuta hizo damu hapo chini kwa miezi yote mitatu ni ujumbe kwa waliotekeleza hilo tukio.

Baadae watu wasianze kusema , amani bi bora ilhali wao wanazika ndugu zao kwa heshima halafu wengine wanaishia kuzika nguo kuna siku hawatakubali ipite hivi hivi.
 
TOKA MAKTABA :

SAMIA UTUAMBIE POLEPOLE YUPO WAPI ?
1767718009176.jpeg
 
Kuua watu ili kuzima fikra zao hazijawahi kusaidia. Sasa niambie hali ilivyokuwa wakati wa fikra za Polepole na sasa kipi afadhali? Ameishia kujificha kama utumbo
 
Back
Top Bottom