ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na mama yake mzazi Mama Anna Marry Polepole leo, Jumanne Januari 06.2025 wamefika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao aliyetekwa karibu miezi mitatu iliyopita
Ndugu hao wamefika kwenye nyumba hiyo wakiwa wameongozana na Wakili William Maduhu kwaajili ya kuhamisha vitu vya Humphrey Polepole,
watakujibu ULIKUWEPO?Police hata kufanya tu forensic investigation ya uongo hawakufanya.
Solution miliki chuma, ukiwa na grenade na gun kina Mulilo na mafero unamwaga ubongoHIVI YULE KICHAA AMBAYE AMEJIFICHA TOKA 29/10/2025 ANAJISIKIAJE KUONA NDUGU WA POLEPOLE WANAHANGAIKA HIVI?ANGEKUWA NI ABDUL KAFANYIWA KAMA POLEPOLE ANGETULIA TU BILA KUCHUKUA HATUA?HUU NI WAKATI WA KUFANYA MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO KUMWONDOA HUYU KICHAA.
Sauti ya damu ya watanganyika waliouawa imemlilia Mungu kutoka katika ardhi ya TanganyikaKuna jambo Mungu aliniambia limemkasirisha kuhusu taifa hili
Kuna hali inaeza pitia ukashangaza jamii, ndio hali polisi wamepitia!!Police hata kufanya tu forensic investigation ya uongo hawakufanya.
Kama ilivyokuwa kwa Mdude Nyagali, Padre Kitima na wengine wengi!Police hata kufanya tu forensic investigation ya uongo hawakufanya.
Yaani mwizi akakamate mwizi??Police hata kufanya tu forensic investigation ya uongo hawakufanya.
Polepole ni mkundugu.Hivi yule ndugu yake mjeshi alietoa masaa 24 nae aliishia wapi😀😀Ila Polepole nae sio smart alirudije bongo kifala fala hivyo asijue kua atakamatwa.