Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,414 Reaction score 3,043 Jan 6, 2026 #21 mhogoz said: Kuna jambo Mungu aliniambia limemkasirisha kuhusu taifa hili Click to expand... Wewe kama nani uambiwe na Mungu. Pumbafffff
mhogoz said: Kuna jambo Mungu aliniambia limemkasirisha kuhusu taifa hili Click to expand... Wewe kama nani uambiwe na Mungu. Pumbafffff
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Jan 6, 2026 #22 Ni kwamba kodi itakuwa imeisha, mwenye nyumba anataka nyumba yake wazi?
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Jan 6, 2026 #23 Polepole ni sehemu ya siasa chafu zilizokamaa chini ya utawala wa Magufuli. Inshort alivuna alichopanda.
Polepole ni sehemu ya siasa chafu zilizokamaa chini ya utawala wa Magufuli. Inshort alivuna alichopanda.
Black cap JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 1,004 Reaction score 1,353 Jan 6, 2026 #24 Tindo said: Polepole ni sehemu ya siasa chafu zilizokamaa chini ya utawala wa Magufuli. Inshort alivuna alichopanda. Click to expand... Sawa na kesho Tena useme hivi hivi.
Tindo said: Polepole ni sehemu ya siasa chafu zilizokamaa chini ya utawala wa Magufuli. Inshort alivuna alichopanda. Click to expand... Sawa na kesho Tena useme hivi hivi.
Black cap JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 1,004 Reaction score 1,353 Jan 6, 2026 #25 Mama ake polepole amejikaza sana
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Jan 6, 2026 #26 Salama leko😎😎😎
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Jan 6, 2026 #27 Kimyaaaaaaa.dah Yan unamuua mwenzako kisa madaraka