TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kuna matukio mengi sana yanayohusu maandamano wanayofanya wananchi wa Kenya kwa ajili ya ugumu wa maisha unaotegemewa kuletwa na ongezeko la kodi katika bidhaa kadhaa nchini humo.
Ila sasa, tukio la masaa kadhaa yaliyopita kwa vijana kuamua kuingia ndani ya bunge la nchi hiyo ndilo kubwa.
Na pamoja na hilo jeshi lilipojaribu kuzuia taflani hiyo kulitokea madhara na mauaji kwa baadhi ya waandamanaji na mmoja wapo wa Gen Z kuonekana kupasuliwa kichwa kwa ubongo wake kuzagaa chini.
Kutokana na kadhia hiyo na nyingine nyingi askali waliendelea kuwakamata waandamanaji hasa vijana wanaojulikana kwa jina Gen Z ambao wamekuwa na hari.
Mmojawapo wa kijana ambaye ndiye hasa chanzo ya mada hii ni huyu hapa chini.
Kakamatwa lakini kwa sababu ameamua kujitoa kwa ajili ya kizazi kijacho basi kawaambia polisi kwa kuwapa somo la Uraia na katiba, kisha hawakumgusa akashuka mwenyewe kwenye karandinga.
Tafadhali msikilize hapa...