Video: Nguvu za kiume kupotea rasmi April 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Kwa mujibu wa moja ya manibii muhimu na wakuaminika hapo daslam, ni kuwa kuanzia mwezi huu wanne wanaume wengi watapoteza nguvu za KIUME na makende kusinyaa.

Nabii ametoa wito kwa wanawake kuwavumilia waume zao sababu Hali hiyo ya ugoigoi itawakumba hata hao wanaowafikiria kwenda kuchepuka nao

Your browser is not able to display this video.
 
Sawaa nabii wa mchongo ..ikiwezekanaa km mnaona wanaume tunafaidi Sanaa mtuombee uko mnakoombaga zinyofolewe kbs maana hazitakuwa na kazi km haisimamiišŸ¤”
 
Pesa ndio nguuu za kiume, huna pesa hakuna shoo ya bure siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…