Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote

Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko

Dhuluma, yanayofanyika na police

Malalamiko yote yapelekwe huko

ova
Em waza mtu katoka mbali kuutafta huo mkaa lkn wao wanataka wakikuona wapate pesa yako tu kwa kusismama barabarani. Yani natamani wangemjeruhi abakiwe na kumbukumbu
 
Hakuna acha ujinga hiyo hali haikuwepo
Wewe ndio mjinga,wenye akili wote tunajua huyo kipenzi chako ndio kaharibu na sio polisi tu bali kaharibu kila kitu yaani alikuwa kivuruge wa nchi.
 
Wewe ndio mjinga,wenye akili wote tunajua huyo kipenzi chako ndio kaharibu na sio polisi tu bali kaharibu kila kitu yaani alikuwa kivuruge wa nchi.
Wezi kama ww lazima mlalamike
 
Wezi kama ww lazima mlalamike
Nimekuibia nini! Unalazimisha kila mtu awe kama wewe,sisi wengine hatuoni chochote cha maana alichokifanya zaidi ya kuvuruga tu tena nashukuru kwa kutuachia nchi yetu.
 
Nimekuibia nini! Unalazimisha kila mtu awe kama wewe,sisi wengine hatuoni chochote cha maana alichokifanya zaidi ya kuvuruga tu tena nashukuru kwa kutuachia nchi yetu.
Nchi yako ww na nani!!?
 
Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote

Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko

Dhuluma, yanayofanyika na police

Malalamiko yote yapelekwe huko

ova
Yaap ushauri mzuri huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…