Video: Ni ushamba uliopitiliza kuwashangaa Wazungu na kuwasumbua, ni kujishusha sana thamani

Video: Ni ushamba uliopitiliza kuwashangaa Wazungu na kuwasumbua, ni kujishusha sana thamani

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi.

Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k.

Huku ni kujishusha thamani.

Tz anakuja lini, nipe ratiba take.. inashangaza kwa kweli!!
 
Back
Top Bottom