G gearbox JF-Expert Member Joined Apr 20, 2024 Posts 563 Reaction score 1,768 May 26, 2024 #1 Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi. Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k. Huku ni kujishusha thamani. Your browser is not able to display this video.
Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi. Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita, kuwasumbua, kuomba hela, n.k. Huku ni kujishusha thamani. Your browser is not able to display this video.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 May 26, 2024 #2 Mkuu tuache tushangae wewe uliona wapi baiskeli ya hivyo? Warundi na ndugu zao waha wanakuja,wako kikaoni.
Mkuu tuache tushangae wewe uliona wapi baiskeli ya hivyo? Warundi na ndugu zao waha wanakuja,wako kikaoni.
G gearbox JF-Expert Member Joined Apr 20, 2024 Posts 563 Reaction score 1,768 May 26, 2024 Thread starter #3 Supu ya kokoto said: Mkuu tuache tushangae wewe uliona wapi baiskeli ya hivyo? Warundi na ndugu zao waha wanakuja,wako kikaoni. Click to expand... Sio baiskeli, hata mzungu akipita anatembea zake, mambo haya hutokea
Supu ya kokoto said: Mkuu tuache tushangae wewe uliona wapi baiskeli ya hivyo? Warundi na ndugu zao waha wanakuja,wako kikaoni. Click to expand... Sio baiskeli, hata mzungu akipita anatembea zake, mambo haya hutokea
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 May 26, 2024 #4 gearbox said: Sio baiskeli, hata mzungu akipita anatembea zake, mambo haya hutokea Click to expand... Mkuu, socialising ni sehemu ya maisha. Mbona wao wakitusemesha hatusemi wameshoboka.
gearbox said: Sio baiskeli, hata mzungu akipita anatembea zake, mambo haya hutokea Click to expand... Mkuu, socialising ni sehemu ya maisha. Mbona wao wakitusemesha hatusemi wameshoboka.
G gearbox JF-Expert Member Joined Apr 20, 2024 Posts 563 Reaction score 1,768 May 26, 2024 Thread starter #5 Supu ya kokoto said: Mkuu, socialising ni sehemu ya maisha. Mbona wao wakitusemesha hatusemi wameshoboka. Click to expand... pima mzani,
Supu ya kokoto said: Mkuu, socialising ni sehemu ya maisha. Mbona wao wakitusemesha hatusemi wameshoboka. Click to expand... pima mzani,
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 May 26, 2024 #6 Tz anakuja lini, nipe ratiba take.. inashangaza kwa kweli!!
G gearbox JF-Expert Member Joined Apr 20, 2024 Posts 563 Reaction score 1,768 May 26, 2024 Thread starter #7 SACO said: Tz anakuja lini, nipe ratiba take.. inashangaza kwa kweli!! Click to expand... mwezi ujao
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 May 26, 2024 #8 kabla sijaangalia ni mb ngapi hizo?