Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 422
- 489
Mimi naamini Mzee Wasira ana nguvu za mwili na akili zaidi ya Mzee Trump!Ngoja nisikujibu..... Jibu unalo ila umeamua tu kutoshirikisha modular kujijibu mkuu..
Achana na US na Trump,Wasira ni kama Biden kachoka sana umri umemtupa mkono.
Kaka inawezekana ukawa sawa. Tusihukumu sana ngoja tuone. Japo Mwafrica wa miaka 80 sio sawa na mzungu wa miaka 80. Tofauti ni kubwa hasa katika makuzi na malezi ya kimwili na kiakili. Wafrika tunawahi kuchoka akili... tuna mizigo ya mambo vichwaniMimi naamini Mzee Wasira ana nguvu za mwili na akili zaidi ya Mzee Trump!
Wewe angalia hata sura zao utagundua kuwa Trump kachoka zaidi ya Wasira.
Mimi binafsi naona watu mnaomsema Mzee Wasira ni kwasababu mnamuogopa!
Mzee huyu ukimlinganisha na rais wa Marekani Donarld Trump mzee Wasira bado ana nguvu sana japo kamzifi mzee Trump mwaka mmoja.
Watu ambao wanaogopa nguvu ya kujenga hoja zinazotokana na uzoefu alionao Mzee Wasira kutokana na kukaa ndani ya chama na serikali kwa muda mrefu sana ndio kila siku kumsemasema kama vile hamna mazungumzo mengine.
Mzee Wasira bado Yuko fiti sana na CCM hawakukurupuka wala hawakukosea kumpa mzee Wasira nafasi hiyo!.
Kumbukeni palipita muda mrefu sana tangu mzee Kinana ajiuzulu kwahiyo walipata muda wa kutuliza akili na kuwakagua makada wa CCM mmoja baada ya mwingine hadi mwisho ndio wakaona ni mzee Wasira ndiye mtu sahihi anayefaa kwa nafasi hiyo kutokana na hali iliyopo ya joto la kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu!.
Kwahiyo tulieni na bado hamjasema, yaani lazima mseme!
Unachosema ni kujidharau na kupenda kuwatukuza watu weupe! Nimewakaa moja ya nchi za kiarabu. Darasani ilikuwa kuna Mwalimu ana miaka 32 lakini ukimwamgalia kama vile ana 45.Kaka inawezekana ukawa sawa. Tusihukumu sana ngoja tuone. Japo Mwafrica wa miaka 80 sio sawa na mzungu wa miaka 80. Tofauti ni kubwa hasa katika makuzi na malezi ya kimwili na kiakili. Wafrika tunawahi kuchoka akili... tuna mizigo ya mambo vichwani
😁 Huu sasa uchochezi. Ngoja waje wanetu wa daisalamuWewe hapa Tanzania tua angalia wanaume wa Dar walioleewa na chipsi kuku na wanaume wa mikoani waliolelewa na ugali wa Dona kwa mbogamboga na maziwa halisi ya mtindi wa ng'ombe wa kienyeji wepi Wana afya bora zaidi?!