Video: Nimecheka kama mazuri vile, yaani polisi wamelazimika kuchomoka nduki, Wakenya bana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......

Ipo siku ntapiga afande mmoja wakati huo ameachw na gati yao
 
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......

Mwishowe Raila atapata mkate wake na mambo yataisha, huku waliouawa na kuumia watabaki na vilio.
 
Sawa sawa sawa !
Ina MAANA Ruto anashindwa kumuita Raila ikulu na kumaliza mambo!!?
Glenn Tatizo siyo Ruto mkuu ni yule makamu wake ndiye kichwa maji, anamwambia "simama kidete hakuna handshake na muluo"

Angekuwa makamu mwingine mbona mambo yangeshatulia kitambo sana.
 
Hoja ya msingi mbona inakwepwa? Ugumu wa maisha kwa wakenya. Mtu kaingia IKULU tu kapandisha KODI 8% mpk 16%.Hii hapana
 
Back
Top Bottom