MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......