Ipo siku ntapiga afande mmoja wakati huo ameachw na gati yaoWakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
https://www.facebook.com/
Mbinafsi sana. Ruto ni mjinga sanaSawa sawa sawa !
Ina MAANA Ruto anashindwa kumuita Raila ikulu na kumaliza mambo!!?
Mwishowe Raila atapata mkate wake na mambo yataisha, huku waliouawa na kuumia watabaki na vilio.Wakenya wakiamua huwa wameamua, tatizo nguvu zote hizi mwisho wa siku zinaishia kuwanufaisha wanasiasa, wanagawana mkate kisha mambo yanaisha, nakumbuka kitambo tulikua tunafanya maandamano yaliyokua yanaleta mazuri kwa taifa, sio haya ya siku hizi ya kuwapa viongozi madaraka......
https://www.facebook.com/
Glenn Tatizo siyo Ruto mkuu ni yule makamu wake ndiye kichwa maji, anamwambia "simama kidete hakuna handshake na muluo"Sawa sawa sawa !
Ina MAANA Ruto anashindwa kumuita Raila ikulu na kumaliza mambo!!?