FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
mashikolo mageni,usikute msukuma huyu
Azidi kuiba matrillion? Trillion 8 alizokwapua zatosha.mpe mitano tena tuzidi kushuhudia maajabu ..
Azidi kuiba matrillion? Trillion 8 alizokwapua zatosha.
Pathetic
Toka 1995 ni kuiba tuuuu. AgrrrrrrLissu alipeleka wapi mabilion aliyohongwa na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu
WaKenya wale😂😂Hao walio mbele yako na walio ku overtake siyo watanzania?
Daraja la kishamba sana hilo.Ngoja wavunjwa miguu na konyagi waje kupinga kuwa hayo ni maendeleo ya vitu.
Subiri matokeo yake, utapata tu jibu lako, usiwe na harakaSwali la kujiuliza ni: Inawezekana vipi Tanzania inakuwa na mbumbumbu wa kiwango hiki?
Kwa miguu, nazungumzia kwa gari wakati wa matumizi ya kawaidaWalio kuwa wanaijenga nao walikuwa wahavuki
Ok poa. Subiri uteuziNadhani hapa sasa Tanzania kama nchi tunaweza kuanza kuvuna matunda ya hili daraja, maana loss tuliyokuwa tunaingiza kwenye foleni za Ubungo kama taifa, ilikuwa kubwa mno!! Ona video.
Hahaha lisu kaingiaje humuLissu alipeleka wapi mabilion aliyohongwa na Mabeberu ili awatetee bungeni kutuibia rasmali zetu