Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah dhidi ya Israel.
Jumla ya ndege 3 zisizo na rubani zilifikia lengo lao.
Israel wanasema walizuia mashambuli kutoka Lebanon, Israel wamepiga marafuku waandishi wa habari kupiga picha maeneo yanayoshambulia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1828127225142747410?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw