Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

Ni Mkutano wa Tulia akiwa na wanachama wake wanacheza.
Aisee.
Nashukuru sana kwa namna ulivyonijibu nikahisi labda sijaiangalia vyema, ikabidi nirudi kuiangalia tena na kumuonacTulia akiwa ni miongoni mwa wanaocheza mduara hapo.
Atakuwa na hali gani baada ya hapo? Alihutubia? Alimhutubia nani? Viti?
 
Huyu amekataliwa mpaka na shetani
Halafu huo wimbo ni wa kabila la Kisafwa, hilo jimbo asilimia kubwa wakazi ni wasafwa. Na maudhui ya wimbo yanasema:-

"Wasafwa kuwa macho kwa kuwa Mbeya ni ya kwetu, inachukuliwa na wageni".

Naye Tulia ni mgeni, ila anacheza wimbo bila kujuwa maana yake. Kumbe wanamsema yeye
 
Kwa hiyo unabishana na teknolojia? Haya leta wewe video iliyochukuliwa karibu. Machawa wa Tulia Trust wanaanza kujitokeza mmoja mmoja
 
Hata kama humpendi Tulia, Mpe basi haki yake, Mkutano hapo Bado haujaamza, unheweka video wakati anahutubia basi, Yani hivyo viti wamewekewa majini au?
Umewahi kuona wapi Mgeni Rasmi anakuwa wa kwanza kufika mkutanoni?

Basi leta clip ya wakati mkutano unaisha!! Bila Polisi na INEC Tulia HATOBOI jimbo la Uyole.

Ni mwepesi kama unyoya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…