Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

Video: Nyomi ya watu kwenye mkutano wa Tulia jimboni Uyole

Halafu huo wimbo ni wa kabila la Kisafwa, hilo jimbo asilimia kubwa wakazi ni wasafwa. Na maudhui ya wimbo yanasema:-

"Wasafwa kuwa macho kwa kuwa Mbeya ni ya kwetu, inachukuliwa na wageni".

Naye Tulia ni mgeni, ila anacheza wimbo bila kujuwa maana yake. Kumbe wanamsema yeye
Ila tulia amewaweza wasafwa, wanamkubali kinoma yaani amejua kucheza na akili zao huwambii kitu kuhusu yeye, alijiandalia kabisa eneo lake kwasababu anajua upande wa kule mjini hawamkubali hivyo akadeal na wasafwa maana alikuwa na uhakika Jimbo litagawanywa na kweli kawaweza
 
kwa hiyo video yako ina lengo gan maana umeitoa ukiwa kolometa moja kutoka eneo la tukio. sasa km video yenyewe inaonyesha imechukuliwa kwa mbali hivyo aliyeichukua alikuwa na lengo lisilo zuri na imechukuliwa mda usio sahihi ili kutimiza ulichokuwa unataka
Muda usio sahihi na muheshimiwa tayari yuko hapo? Au yeye ndio anatangulia kisha watu wanakuja nyuma yake?
 
Back
Top Bottom