Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Hii ni Nyumba ya Serikali, Makazi ya Spika, Iko dodoma. Hata baadhi ya watagulizi wake waliishi Hapo.
Ipo Uzunguni Dodoma, mbele kidogo ya Bar ya Waswanu.

Huyo mleta thread apunguze uchawi, ni nyumba ya Bunge hiyo sio nyumba binafsi.

Aliyekuwa akiishi hapo miezi michache nyuma alikuwa ni Makamu wa Rais
 
Bro hii nchi watu wana mawazo ya kimasikin sana. Nyumba ya kawaida sana kwa hadhi yake. Isitoshe hawajatuambia hayo ni makaz ya spika au ni makaz binafs.
 
Waandishi wa Ulaya kamwe hawathubutu kwenda nyumbani kwa kiongozi.

Kwa sababu muda wowote hali ya hewa inaweza kuchafuka. Kwa hiyo wanakutana kwenye ofisi ya umma, au studio, au barabarani ambapo waandishi wako huru kuuliza chochote bila kuogopa kufukuzwa nyumbani kwa mtu na wewe kiongozi yakikushinda uko huru kusanzuka.

Sitahangaika kuitafuta video niione kwa saab the air and tone in the room ni kuchekeana chekeana na kumshukuru kwa kuwaalika na kumsifia kwa landscape nzuri ya majani.

Wanahabari wameenda hawana issue na Spika au Bunge, hawana wasiwasi na jambo ambalo labda litamkera Spika. Hawajafanya homework, hawajui pressing issues za nchi ni zipi, na wakizijua hawana data za kumchimba Spika na bunge lake pale penye mapungufu, hawana upeo masikini ya Mungu, na kisomo cha Spika wanaamini ni kikuuuubwa sana kuliko chao, hawawezi kumbana kwa lolote. Third rate press of the third world.
 
Jamii nayo inauhitaji na ulichokisema mkuu au jamii inataka umbea. Waandishi wa bongo wanadance according the tune wala usiwalaumu.
 
Ila wakuu dah aya bwana ngoja nikaushe.. Ila for sure inauma sana.. Kinoma.
 
Hii nyumba ulikamilika 2011 na speaker wa kwanza kukaa alikuwa Anna Makinda. Maspika wote wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanapaswa kuishi humo kama makazi ya yaliyoteuliwa na ofisi.
 
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
We sema ulienda kupiga wiring
Natania mkuu
 
Hapo kuwa kafanya kazi kama Professor umemanisha nini mkuu?.
 

If You Are Born Poor It’s Not Your Mistake, But If You Die Poor It’s Your Mistake.​


Kuwa mtoto wa maskini hakumfanyie awe maskini, pambana na hali yako acha makasiriko.
Point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…