Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Video: Nyumba ya Tulia Ackson

 
Alafu utasikia nae anajiita mtoto wa maskini! Au nae anasema "sisi wanyonge"

Watanzania kujanjaruka sio Leo Wala kesho maana wanachoteka

Anna Makinda ndio alikuwa wa kwanza kuizindua. Hiyo ni nyumba kwa ajili ya spika wa bunge imejengwa na serikali sio ya Tulia
Yaani watu wanaongea sana! No research no right to speak
 
Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Kafanya kazi kama professor kwa kutumia title ya Dr? au ndo story za vijiwe vya kahawa.
 
Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.

View attachment 2610291
Itupe uchungu wa kupambana mpaka tone la mwisho hata kwa kutumia wizi wa akili ukiweza😀. Kuna movie moja huwa naipenda sana Money heist professor alikuwa anasema benki huwa inazalisha fedha nyingi sana sasa ili fedha hizo zisibaki kwa wachache inatakiwa wengine wafight kufanya leverage iwe na kwao pia.
 
View attachment 2610412
Halafu linganisha na nyumba ya mlalahoi.

Kweli wakubwa wanajimegea tu keki ya taifa
Huyo mlalahoi ni uzembe wake, wanaojiita walala hoi wa Dar akishajenga nyumba kwa tofali hudhani kamaliza , suala la lipu na rangi hajui ijapokuwa uwezo anao nyumba nyingi za uswahilini Dar hazipigwi lipu na wanaona ndio Maisha ila masaa yote wapo vijiweni wanakunjwa kahawa na kuwasengenya watu kazi hawafanyi, hela za Kodi hawafanyi ukarabati au finishing
 
Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Kafanya kazi kama professor?
Kazi gani hiyo ya kufanya kama professor?
Ila hao ma pro wa vyuo vya umma salary zao ni ndogo sana.
 
Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.

View attachment 2610291
Mleta mada unatakiwa ujifunze mbali na tulia kuwa spika alishakua mbunge ana miradi mbalimbali kwann asiwe na uwezo wa kujenga nyumba kama hiyo? Nyumba nzuri haijengwi ndani ya mwaka ikawa imekamilika mazingira na kila kitu, inachukua muda na mpango ili upate nyumba yenye muonekano mzuri.

Mfano hiyo garden hapo nje sio kitu cha siku moja nyumba yenyewe anaweza akawa kajenga kwa muda mrefu mpka kufika hapo.

Kwa tz kama unakipato endelevu kuwa na nyumba nzuri sio kitu cha kushangaza kwa amabao hawajawahi jenga anaweza pagawa ila kama umejenga tunajua namna tunadunduliza hela kidogo kwenye ramani ya nyumba ya gharama.

Nyumba nzuri haiji tu lazima upende kwanza kuwa na nyumba nzuri lazima ujibane kwanza na uwe mpole leo umeweka kitu fulani kesho utaweka kingine taratibu nyumba inapendeza
 
Kafanya kazi kama professor?
Kazi gani hiyo ya kufanya kama professor?
Ila hao ma pro wa vyuo vya umma salary zao ni ndogo sana.
Hebu tuambie hao ma pro wa vyuo vya uma mishahara midogo kivipi? Hebu weka figure unayoijua hapa.
Alafu usiangalie mshahara wa mtu ukathaminisha na nyumba anayokaa kumbuka tulia ana mume na anamkwanja tulia mwenyewe kawa mbunge wa kuteuliwa akaja akawa mbunge wa kugombea now ni spika na huo mjengo hajajenga akiwa spika kwahyo mipango yake aliiseti kitambo.

Kuishi nyumba nzuri ni tabia kama ilivyo kupenda nguo nzuri au gari zuri hivyo yaani
 
mwamba hako ni kahekalu kadogo sana kwa mwanasiasa,
hususani member of paliamenti tena mweshimiwa sabufa kama huamini nenda kwa sieijii
kama PROF Assad akuambie matumizi ya mzee Ndugai kwenda chek up mambele one trip unajenga hiyo na chenji unanunulia range new model na yeye alienda trip 10 per year this is Afrika blood.
Watu bado hawajajua kwann wabunge wanaloga na kuua ili tu akae mjengoni pale
 
Lakini hiyo siyon nyumba binafsi ya spika Bali ni nyumba ya serikali so tulia akistaafu uspika atapisha hiyo nyumba
 
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Ehee, hata mimi nilitaka kusema hivyo, niliiona kwenye Royo Tua, Tulia mama huyo CAG aache za kuleta tutamjadili na hoja zake mwisho wa mwaka kwani hela kazi yake nini si kuzitumia zikuzoee.
 
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Hongera mkuu kwa kutalii kwenye nyumba ya Spika kila akibadili unatalii tuu wazee wa vitengo bhana...
 
Back
Top Bottom