Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
😇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tate wewe ni mwalimu wa shule ya msingi, unateseka ukiwa wapi?Dah! Maisha hayako fair hata kidogo.
Ndiyo maana una akili zakitoto, ukibwa wote huo unaishi kwenu?? Jinga kweli wewe jamaaKila mtu anajua sio ya Tulia ila Tulia could very much afford it. Yeye na mme wake wana nafasi na uwezo huo.
Wewe umenizidi umaskini na ujinga tu. Usituone hapa watu bado tunakula matunda ya wazee wetu bado hatujaanza kugusa yetu hatupo sawa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Somo limekuingia wewe. I rest my case.
Ndiyo maana una akili zakitoto, ukibwa wote huo unaishi kwenu?? Jinga kweli wewe jamaa
Mkuu hii comment yako wengi hawajaielewa labda watumie msaada wa googleA ghastly monstrosity of soulless modern architecture.
Kwa hiyo na wewe ni among of them?? Unapenda kuwa wao?? Utapakatwa mtoto wa kiume! Wao ulishawahi ona wana ujinga na utoto mwingi kama wako?? Tutusa kabisaRidhawan, watoto wa Bakhressa, watoto wa Mengi, watoto wa Dewji including Mo wanakula matunda ya wazee wao ila hawakai nao. Sio lazima ukae na mtu kula matunda yake. Una comprehension disorder Kitu kidogo tu unashindwa kung'amua, huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
Ndomana kila mtu anataka kupiga awe na mjumba kama huo na maisha mazuriUmaskini sio uzalendo.
Kiranga ngoma ngumuMkuu hii comment yako wengi hawajaielewa labda watumie msaada wa google
Anaonekana Tu amekaa kinafiki nafikia SanaHuyo dogo mwenye tai nyekundu ni mkuda proo
Mapato na matumizi yafananeUnataka speaker aishi kwenye tembe?
Ndomana kila mtu anataka kupiga awe na mjumba kama huo na maisha mazuri
Ova
Kwedikwazu Primary School.Tate wewe ni mwalimu wa shule ya msingi, unateseka ukiwa wapi?
Sasa we ulitaka nyumba ya supika iwe kama ya mtendaji kata?
Binafsi nimeelewa hayo maneno mawili ya mwisho ndio nikapata picha(maana) ya comment yake na sina uhakika kama niko sahihi.Mkuu hii comment yako wengi hawajaielewa labda watumie msaada wa google
Kwani professor maana yake ni nini zaidi ya mwalimu? Udaktari wa filosofia hauna uhusiano na ualimu. Hivyo alipokuwa katika taasisi ya elimu, alikuwa mwalimu, na sio bungeni.Pumba kabisa, kwa hiyo akiwa UD alikua Prof lakini baada yakuwa Nominated Member of Parliament, Naibu Spika, then Spika ndiyo akawa Dkt tena?? Maajabu haya
Asante kiongozi bora wewe umekuja na jibu mjarabu kuliko yule alikutaja taja tu watu maarufu!Kwani professor maana yake ni nini zaidi ya mwalimu? Udaktari wa filosofia hauna uhusiano na ualimu. Hivyo alipokuwa katika taasisi ya elimu, alikuwa mwalimu, na sio bungeni.
Unatalii ktk nyumba ya mh.spikaHiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Jinsi gani kuishi kwenye nyumba kama hiyo kunakufanya uwe na maisha mazuri?Ndomana kila mtu anataka kupiga awe na mjumba kama huo na maisha mazuri
Ova