Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Kila mtu anajua sio ya Tulia ila Tulia could very much afford it. Yeye na mme wake wana nafasi na uwezo huo.

Wewe umenizidi umaskini na ujinga tu. Usituone hapa watu bado tunakula matunda ya wazee wetu bado hatujaanza kugusa yetu hatupo sawa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Somo limekuingia wewe. I rest my case.
Ndiyo maana una akili zakitoto, ukibwa wote huo unaishi kwenu?? Jinga kweli wewe jamaa
 
Ndiyo maana una akili zakitoto, ukibwa wote huo unaishi kwenu?? Jinga kweli wewe jamaa

Ridhawan, watoto wa Bakhressa, watoto wa Mengi, watoto wa Dewji including Mo wanakula matunda ya wazee wao ila hawakai nao. Sio lazima ukae na mtu kula matunda yake. Una comprehension disorder Kitu kidogo tu unashindwa kung'amua, huko shuleni ulienda kusomea ujinga.
 
Kwa hiyo na wewe ni among of them?? Unapenda kuwa wao?? Utapakatwa mtoto wa kiume! Wao ulishawahi ona wana ujinga na utoto mwingi kama wako?? Tutusa kabisa
 
Atakayeweka kiwanda au uwekezaji aliouanzisha spika yeyote na kutoa ajira kwa wananchi nitampongeza. Haya majumba hayana tija kwa wapiga kura.
 
Pumba kabisa, kwa hiyo akiwa UD alikua Prof lakini baada yakuwa Nominated Member of Parliament, Naibu Spika, then Spika ndiyo akawa Dkt tena?? Maajabu haya
Kwani professor maana yake ni nini zaidi ya mwalimu? Udaktari wa filosofia hauna uhusiano na ualimu. Hivyo alipokuwa katika taasisi ya elimu, alikuwa mwalimu, na sio bungeni.
 
Kwani professor maana yake ni nini zaidi ya mwalimu? Udaktari wa filosofia hauna uhusiano na ualimu. Hivyo alipokuwa katika taasisi ya elimu, alikuwa mwalimu, na sio bungeni.
Asante kiongozi bora wewe umekuja na jibu mjarabu kuliko yule alikutaja taja tu watu maarufu!

Prof ni Mwalimu kweli kabisa wala sio uongo
 
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Unatalii ktk nyumba ya mh.spika
 
Back
Top Bottom