Tulia kazi anayo, Sugu bado yuko naye hawajamalizana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kazi anayo, Sugu bado yuko naye hawajamalizana.
Alafu utasikia nae anajiita mtoto wa maskini! Au nae anasema "sisi wanyonge"
Watanzania kujanjaruka sio Leo Wala kesho maana wanachoteka
Yaani watu wanaongea sana! No research no right to speakAnna Makinda ndio alikuwa wa kwanza kuizindua. Hiyo ni nyumba kwa ajili ya spika wa bunge imejengwa na serikali sio ya Tulia
Kafanya kazi kama professor kwa kutumia title ya Dr? au ndo story za vijiwe vya kahawa.Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Itupe uchungu wa kupambana mpaka tone la mwisho hata kwa kutumia wizi wa akili ukiweza😀. Kuna movie moja huwa naipenda sana Money heist professor alikuwa anasema benki huwa inazalisha fedha nyingi sana sasa ili fedha hizo zisibaki kwa wachache inatakiwa wengine wafight kufanya leverage iwe na kwao pia.
Huyo mlalahoi ni uzembe wake, wanaojiita walala hoi wa Dar akishajenga nyumba kwa tofali hudhani kamaliza , suala la lipu na rangi hajui ijapokuwa uwezo anao nyumba nyingi za uswahilini Dar hazipigwi lipu na wanaona ndio Maisha ila masaa yote wapo vijiweni wanakunjwa kahawa na kuwasengenya watu kazi hawafanyi, hela za Kodi hawafanyi ukarabati au finishingView attachment 2610412
Halafu linganisha na nyumba ya mlalahoi.
Kweli wakubwa wanajimegea tu keki ya taifa
Umeenda Chaka sanaSpika ndio mtumishi wa Serikali,
Kafanya kazi kama professor?Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Mleta mada unatakiwa ujifunze mbali na tulia kuwa spika alishakua mbunge ana miradi mbalimbali kwann asiwe na uwezo wa kujenga nyumba kama hiyo? Nyumba nzuri haijengwi ndani ya mwaka ikawa imekamilika mazingira na kila kitu, inachukua muda na mpango ili upate nyumba yenye muonekano mzuri.
Hebu tuambie hao ma pro wa vyuo vya uma mishahara midogo kivipi? Hebu weka figure unayoijua hapa.Kafanya kazi kama professor?
Kazi gani hiyo ya kufanya kama professor?
Ila hao ma pro wa vyuo vya umma salary zao ni ndogo sana.
Watu bado hawajajua kwann wabunge wanaloga na kuua ili tu akae mjengoni palemwamba hako ni kahekalu kadogo sana kwa mwanasiasa,
hususani member of paliamenti tena mweshimiwa sabufa kama huamini nenda kwa sieijii
kama PROF Assad akuambie matumizi ya mzee Ndugai kwenda chek up mambele one trip unajenga hiyo na chenji unanunulia range new model na yeye alienda trip 10 per year this is Afrika blood.
Mmetafuta uadui naye
Hata kama; ila kodi zetu ndio mshahara wake ulipo. So awe au asiwe mwajiriwa haibadilishi nia ya madaMbunge ni mtumishi wa serikali??
Ehee, hata mimi nilitaka kusema hivyo, niliiona kwenye Royo Tua, Tulia mama huyo CAG aache za kuleta tutamjadili na hoja zake mwisho wa mwaka kwani hela kazi yake nini si kuzitumia zikuzoee.Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Hongera mkuu kwa kutalii kwenye nyumba ya Spika kila akibadili unatalii tuu wazee wa vitengo bhana...Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Tusiwe washamba kiasi hiki. Hayo ni Makazi ya Spika sio nyumba ya Tulia Ackson.. Mbona Makinda aliishi hapo hamkushangaa.. Ndugai pekee hakaa hapo.. Haina upekee wowote isipokuwa kwa mtu very primitive.