Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Hahaha, asante Tate.Kwedikwazu Primary School.
Nyumba ya serikaliUnatalii ktk nyumba ya mh.spika
Asante kiongozi bora wewe umekuja na jibu mjarabu kuliko yule alikutaja taja tu watu maarufu!
Prof ni Mwalimu kweli kabisa wala sio uongo
Tulia trust inakopesha pesha mbeya nzima na ni kwa riba, huyo mama ni bilionea na hajaanza leo. amekopesha bajaji karibia 500 pale mbeya, wee hata bajaji moja huna. bodaboda rundo.pia ni spika wa bunge anayepokea mshahara sio chini ya milioni 15 kwa mwezi, achilia mbali marupurupu, hajui garama ya mafuta ya gari, service, umeme nyumbani wala chochote. sasa hapo utasema atashindwa kumenga nyumba hiyo tu? hata mbeya ana gorofa lakini kwa watu wa mbeya wanaomfahamu, wanajua hizo ni pesa zake wala sio za wizi.
Wanadhani umasikini ni sifa njema kumbe ni aibu na fedheha tu.Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?