...alipoondoka hapa ..tulihoji inakuwaje anafanya safari ya saba ya marekani..bila sababu za msingi??..kina salva wakamrushia taulo jeupe[kutetea/kumuokoa]..wakisema ...SAFARI HII LAZIMA RAIS AENDE KWA SABABU AMEPATA HESHIMA YA KUPEWA STATE VISIT NA BUSH....Tukasema afadhali..maana kiongozi wa mwisho kupewa state visit marekani inaeleweka ni MWALIMU....wakati wa rafiki yake keneddy.....
......kina kagame na museveni ambao nao wamepata kuwa vipaka vya marekani ...kama kikwete hadi walipokosa dhamani ..wao walipewa heshima ya state visit ..na kuhudhuria ..prayer breakfast mara kadhaa....so it means kikwete is a cheap lousy...to bush...na asubiri obama[democrats ] wakishinda watakavyomtupia virago!!!
Wa JF ni lazima tutumiye maneno ya hekima tutapomzungumzi RAIS WETU kumuita RAIS mwenda azim huyu siyo baba yako au rafiki yako bali ni RAIS wa nchi yetu ambaye tumemchanguwa sisi wenyewe kwa kura zetu.Mimi nina unga mkono RAIS kwenda USA hata mara 100 siyo tatizo RAIS anania njema tuu na TZ kwenda USA kwanza inaisaidia TZ kwa kupata misaada kutoka USA kwa wengi sana tofauti na kipindi cha RAIS mkapa kama mnachuki zetu binafsi semeni.RAIS KIKWETE ni RAIS BORA TOKEYA AINGIYE IKULU
Jamani, kwenye hicho kideo, Kikwete kasema "well I came here to say thank you" amekuja kutoa shukrani!
I wish we could get the whole footage of the oval office press talk, maana I am curious to know what else did he say!
May be whitehouse website may have full transcript of the meeting.
Sadly, it is not that Kikwete was uncomfortable, but he was never prepared for the meeting. There is no teleprompter or a reading speech! Rather than say " You have done so much for Africa, so much for Tanzania. When you compare, no U.S. president has done so much for Africa and for Tanzania as you have done".
Inaonyesha ni unyenyekevu fulani badala ya msimamo wa kutaka Marekani ifanye kazi za ziada kwenye masuala ya kuondoa Umasikini kauongeza kufuta madeni kwa nchi masikini, kusaidia nchi masikini kupata haki dhodo ya makampuni ya Kimarekani ambayo yanadhulumu kwa kutumia utandawazi, na mambo mengine ya msingi yanayoikabili Afrika!
Lakini what the heck, he is Mkwere, that was expected, amekuja kuangalia Basketball ya Wanawake, kisha arudi Tanzania kwa mfungo wa Ramadhani kabla ya kurudi tena kwenye mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa!
Wa JF ni lazima tutumiye maneno ya hekima tutapomzungumzi ............huyu siyo baba yako au rafiki yako bali ni RAIS RAIS KIKWETE NI RAIS BORA TOKEYA AINGIYE IKULU[/SIZE][/COLOR]
Wa JF ni lazima tutumiye maneno ya hekima tutapomzungumzi RAIS WETU kumuita RAIS mwenda azim huyu siyo baba yako au rafiki yako bali ni RAIS wa nchi yetu ambaye tumemchanguwa sisi wenyewe kwa kura zetu.Mimi nina unga mkono RAIS kwenda USA hata mara 100 siyo tatizo RAIS anania njema tuu na TZ kwenda USA kwanza inaisaidia TZ kwa kupata misaada kutoka USA kwa wengi sana tofauti na kipindi cha RAIS mkapa kama mnachuki zetu binafsi semeni.RAIS KIKWETE ni RAIS BORA TOKEYA AINGIYE IKULU
Mimi nina unga mkono RAIS kwenda USA hata mara 100 siyo tatizo RAIS anania njema tuu na TZ kwenda USA kwanza inaisaidia TZ kwa kupata misaada kutoka USA.....Yaaani unaunga mkono Rais mzima wa taifa kwenda kuangalia basketbal ya wanawake? Ameacha kwenda kutembelea walima Pamba wa kule Shinyanga na mwanza, walima kahawa wa Kule bukoba, Kweli Tanzania hatuna Rais, tuna adventurist...! Ni msaada gani tunapata baada ya yeye kuangalia hio basketbal ya wanawake? Au hao basketballers wanategemea kuja kuwekeza tanzania? Au ameenda kutafuta nyumba ndogo?
jokaKuu,Jasusi,
..sasa tufanye nini jamani ili RAISI wetu apewe hiyo STATE VISIT?
jokaKuu,
Uamuzi wa state visit uko mikononi mwa White House, State Department na National Security Council. Sisi Watanzania hatuna cha kufanya ku-effect such a visit. The last state visit to the US by a Tanzania leader was in 1977 alipokuja Mwalimu Nyerere akikaribishwa na Jimmy Carter. Kwa kweli siku hiyo hata taxi driver walijua Tanzania ni nini maana bendera zetu zilipepea kwenye mtaa mzima wa Pennyslvania Avenue na sisi wanyonge tulijihisi kuwa hata mwezini siku moja tunaweza kwenda. Tulimpokea Mwalimu kwenye uwanja wa Andrews Air Force base na kesho yake tukatinga south lawn ya White House ambako mizinga 21 ilifyatuliwa huku tukipeperusha bendera za Tz. Bwana we, hata wajukuu wangu siku moja nitawasimulia!
Unaweza kusema ni mwenda azimu kumbe kuna wenda azimu hata wa kusikiliza, Mh. rais amesema has been almost eliminated.... na cases za malaria zimeshuka toka 30% to 1%. Sasa kama mtu anabeza hata mafanikio katika Afya sijui atakuwa katika kundi gani.
Kikwete again! hebu funga safari ukacheki jamani mimi nimegutuka report nyingi tuzapewa ni za kupika sana na hii itatumaliza kama hatutakuwa makini.Zanzibar yatoa changamoto kwa Tanzania Bara
MAFANIKIO ya Zanzibar katika mapambano dhidi ya malaria ni changamoto kubwa kwa Tanzania Bara dhidi ya ugonjwa huo unaoongoza kuua watu nchini.
Hayo yalisemwa Jumatano wiki hii na Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akizungumza katika mkutano wake na viongozi wa Kituo cha Maendeleo ya Kimataifa (CGD) jijini hapa.
Alisema changamoto kubwa iliyo mbele ya wananchi wa Tanzania Bara kutokana na mafanikio hayo ni kuhakikisha kuwa malaria inatokomea na kuacha kuwa muuaji kiongozi wa watu nchini.
Akipongeza hatua iliyofikiwa na Zanzibar katika mapambano hayo, Rais ambaye yuko katika ziara yake ya kwanza ya kikazi nchini Marekani, alisema njia pekee ni ya kutumia vyandarua vilivyowekwa dawa, unyunyiziaji sumu ya mbu katika mazalia na dawa za kupambana na malaria.
"Ni kweli kuwa Zanzibar ikilinganishwa na Tanzania Bara ni ndogo na yenye idadi ndogo ya watu na hivyo kuwa rahisi kufikia mafanikio hayo, lakini tunaweza kwa upande wa Bara tukaanza na sehemu ndogo ndogo hadi mafanikio yapatikane," alisema Rais.
Alisema Serikali yake imepanga kutangaza hatua madhubuti za kupambana na malaria ifikapo Oktoba mwaka huu, huku akiitaka Zanzibar kuhakikisha inalinda mafanikio hayo, kwa kutoruhusu wadudu wa malaria kuingia kisiwani humo.
Aliipongeza Serikali ya Marekani kwa mchango wake mkubwa uliowezesha Zanzibar kufikia hatua hiyo ya mafanikio hayo ambapo mwaka 2005 iliweza kupambana na malaria na kubakiwa na maambukizi kwa asilimia 25 na mwaka huu maambukizi ni asilimia moja tu.
Naye Balozi wa Marekani nchini, Bw. Mark Green, alisema ili mapambano hayo yafikiwe katika nchi yoyote inayotishiwa na ugonjwa huo, kinachotakiwa ni dhamira ya dhati na raslimali.
"Kinachotakiwa ni wanawake na watoto kutumia vyandarua vyenye dawa, nyumba zinyunyiziwe sumu ya mbu, wajawazito watibiwe na huduma ya afya iwe ya kuridhisha kwa jamii," alisema Bw. Green ambaye anafuatana na Rais Kikwete katika ziara hiyo ya siku tatu.
Wengine katika ziara hiyo, ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Bernard Membe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Elimu, Ufundi na Mafunzo ya Amali za Taifa, Bw. Haroun Ali Suleiman.
Source: Majira
jokakuu,
uamuzi wa state visit uko mikononi mwa white house, state department na national security council. Sisi watanzania hatuna cha kufanya ku-effect such a visit. The last state visit to the us by a tanzania leader was in 1977 alipokuja mwalimu nyerere akikaribishwa na jimmy carter. Kwa kweli siku hiyo hata taxi driver walijua tanzania ni nini maana bendera zetu zilipepea kwenye mtaa mzima wa pennyslvania avenue na sisi wanyonge tulijihisi kuwa hata mwezini siku moja tunaweza kwenda. tulimpokea mwalimu kwenye uwanja wa andrews air force base na kesho yake tukatinga south lawn ya white house ambako mizinga 21 ilifyatuliwa huku tukipeperusha bendera za tz. Bwana we, hata wajukuu wangu siku moja nitawasimulia!
..............nyerere alipokuwa anaenda for state visits enzi zake alikuwa haendi kujishaua kwa kusema ahsante ..kwa mikopo yenye riba...alikuwa AKIENDA KUTOA LANDMARK STATEMENTS KUHUSU NCHI MASKINI..NA UKOLONI MAMBOLEO...TULITEGEMEA KIKWETE NAYE AKIPATA MUDA WAKUONANA NA BUSHA KWA KUWA ANAPATA AIR TIME APASUE MAMBO MAZITO....ZAIDI YA KUFANYA MARUDIO YA HOTUBA ZA AHASANTE ALISHOKWISHATOA HAPA DAR BUSH ALIPOKUJA.....NDIO MAANA HAKUNA MWANDISHI MAKINI ALIYEENDA PALE AKIJUA HAKUNA LA KUANDIKA ZAIDI YA KUONA KIONGOZI KUTOKA TAIFA MASKINI WA KUJITAKIA AKILAMBA VIATU VYA BUSH...KAMA NAYE ANAVYOLAMWA NA WAANDISHI UCHWARA HAPA NYUMBANI...