Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwisho wa polisi kukwapua masanduku ni Tume huru tuHakika Mkuu, Ombwe la Tume Huru halina mjadala kwa sasa.
Unaelewa tafsiri ya TUME HURU tunayoiongelea hapa Mkuu?Zanzibar kulikuwa na tume inayohusisha vyama vya siasa ila kilichotokea wote mnajua
Unaelewa tafsiri ya TUME HURU tunayoiongelea hapa Mkuu?