Video : Operesheni Tume huru yazinduliwa Mikumi

Video : Operesheni Tume huru yazinduliwa Mikumi

Nimecheka sana hii comment ya jamaa kwenye huu mchoro wa kipanya![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
masoudkipanya_B9A_6OMDjZT.jpeg
_20200226_085928.JPG
 
Tume huru ndiyo habari ya mjini kwa sasa, nuna usinune watanzania hawa wanataka tume huru.
 
HAPANA kwa Tume ya CCM, tunahitaji Tume isiyochaguliwa na Rais wala kuwajibika kwake! Upuuzi huu tumeuvumilia kwa miaka mingi, INATOSHA SASA.
 
Back
Top Bottom