MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ikionyesha Raila akitetereka wakati wa kupokea kikombe cha ushindi kwa niaba ya Kariobangi Sharks kule Dar es Salaam.
Ofisi ya Raila wamesema yupo shwari kwamba ni jukwaa lilikua linayumba, lakini kwa jinsi huwa mnalalamika kuhusu wasanii wenu kuangukia pua wakija kutumbuiza huku, isiwe mnalipiza kisasi....hehehe utani tu...msilete povu. Namtakia afya njema aliyekua waziri mkuu wetu na hongera kwa kariobangi Sharks kwa kunyakua kikombe cha ushindi tena huko huko kwa Watanzania kwenye uwanja wao.
---------------------------------------
Opposition leader Raila Odinga says he is “fine and in good health” after he was hurriedly taken off the stadium by his aides, during a football match in Dar es Salaam, Tanzania.
Taking to Twitter on Sunday night, Odinga said: “Dear Kenyans and friends from around the globe, I am well and in Good health. Thank you for your concern.”
A video that has since gone viral showed Mr. Odinga posing with the winning team, Kariobangi Sharks, at the stadium waiting to hand them the trophy.
Moments later, he appeared to stumble and was led from the arena by two of his security guards.
https://citizentv.co.ke/news/im-wel...ications&utm_campaign=onesignal_notifications