video: Oyaa Watanzania kuna nini, mruhusu Raila apokee kikombe kwa amani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ikionyesha Raila akitetereka wakati wa kupokea kikombe cha ushindi kwa niaba ya Kariobangi Sharks kule Dar es Salaam.
Ofisi ya Raila wamesema yupo shwari kwamba ni jukwaa lilikua linayumba, lakini kwa jinsi huwa mnalalamika kuhusu wasanii wenu kuangukia pua wakija kutumbuiza huku, isiwe mnalipiza kisasi....hehehe utani tu...msilete povu. Namtakia afya njema aliyekua waziri mkuu wetu na hongera kwa kariobangi Sharks kwa kunyakua kikombe cha ushindi tena huko huko kwa Watanzania kwenye uwanja wao.
---------------------------------------

Opposition leader Raila Odinga says he is “fine and in good health” after he was hurriedly taken off the stadium by his aides, during a football match in Dar es Salaam, Tanzania.

Taking to Twitter on Sunday night, Odinga said: “Dear Kenyans and friends from around the globe, I am well and in Good health. Thank you for your concern.”

A video that has since gone viral showed Mr. Odinga posing with the winning team, Kariobangi Sharks, at the stadium waiting to hand them the trophy.

Moments later, he appeared to stumble and was led from the arena by two of his security guards.

https://citizentv.co.ke/news/im-wel...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
I can see other people on the podium are perplexed why Baba (Raila Odinga) suddenly needs to be supported to stand upright or walking down the few steps.
 
Hawa wanasiasa wa Afrika Mashariki wachukue likizo, kila siku wanataka kuwa ktk kurasa za mbele za gazeti, news kubwa ktk TV n.k
 
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ikionyesha Raila akitetereka wakati wa kupokea kikombe cha ushindi kwa niaba ya Kariobangi Sharks kule Dar es Salaam.
Ofisi ya Raila wamesema yupo shwari kwamba ni jukwaa lilikua linayumba, lakini kwa jinsi huwa mnalalamika kuhusu wasanii wenu kuangukia pua wakija kutumbuiza huku, isiwe mnalipiza kisasi....hehehe utani tu...msilete povu. Namtakia afya njema aliyekua waziri mkuu wetu na hongera kwa kariobangi Sharks kwa kunyakua kikombe cha ushindi tena huko huko kwa Watanzania kwenye uwanja wao.
---------------------------------------

Opposition leader Raila Odinga says he is “fine and in good health” after he was hurriedly taken off the stadium by his aides, during a football match in Dar es Salaam, Tanzania.

Taking to Twitter on Sunday night, Odinga said: “Dear Kenyans and friends from around the globe, I am well and in Good health. Thank you for your concern.”

A video that has since gone viral showed Mr. Odinga posing with the winning team, Kariobangi Sharks, at the stadium waiting to hand them the trophy.

Moments later, he appeared to stumble and was led from the arena by two of his security guards.

https://citizentv.co.ke/news/im-wel...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Kwani ujui timu yenyewe inaitwa kariobangi kwaiyo Raila alikuwa anaonyesha m
anjonjo ya kibangibangi na kiteja nadhani aliye staili zaidi kupokea kombe ni Ukenyatta mzee wa jicho bangi jekundu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J3 na tayari umeshapiga cha Arusha asubuhi, hii wiki utaruka kwa mabawa....
 
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ikionyesha Raila akitetereka wakati wa kupokea kikombe cha ushindi kwa niaba ya Kariobangi Sharks kule Dar es Salaam.
Ofisi ya Raila wamesema yupo shwari kwamba ni jukwaa lilikua linayumba, lakini kwa jinsi huwa mnalalamika kuhusu wasanii wenu kuangukia pua wakija kutumbuiza huku, isiwe mnalipiza kisasi....hehehe utani tu...msilete povu. Namtakia afya njema aliyekua waziri mkuu wetu na hongera kwa kariobangi Sharks kwa kunyakua kikombe cha ushindi tena huko huko kwa Watanzania kwenye uwanja wao.
---------------------------------------

Opposition leader Raila Odinga says he is “fine and in good health” after he was hurriedly taken off the stadium by his aides, during a football match in Dar es Salaam, Tanzania.

Taking to Twitter on Sunday night, Odinga said: “Dear Kenyans and friends from around the globe, I am well and in Good health. Thank you for your concern.”

A video that has since gone viral showed Mr. Odinga posing with the winning team, Kariobangi Sharks, at the stadium waiting to hand them the trophy.

Moments later, he appeared to stumble and was led from the arena by two of his security guards.

https://citizentv.co.ke/news/im-wel...ications&utm_campaign=onesignal_notifications

ahaaaa haaaa
msije mkapitia (hilo tukio la kutetemeka Dar) kummaliza mzee wa watu. Ni jukwaa tu lilileta shida, mwenyewe still has the stamina.
 
Kuna video imesambaa kwenye mitandao ikionyesha Raila akitetereka wakati wa kupokea kikombe cha ushindi kwa niaba ya Kariobangi Sharks kule Dar es Salaam.
Ofisi ya Raila wamesema yupo shwari kwamba ni jukwaa lilikua linayumba, lakini kwa jinsi huwa mnalalamika kuhusu wasanii wenu kuangukia pua wakija kutumbuiza huku, isiwe mnalipiza kisasi....hehehe utani tu...msilete povu. Namtakia afya njema aliyekua waziri mkuu wetu na hongera kwa kariobangi Sharks kwa kunyakua kikombe cha ushindi tena huko huko kwa Watanzania kwenye uwanja wao.
---------------------------------------

Opposition leader Raila Odinga says he is “fine and in good health” after he was hurriedly taken off the stadium by his aides, during a football match in Dar es Salaam, Tanzania.

Taking to Twitter on Sunday night, Odinga said: “Dear Kenyans and friends from around the globe, I am well and in Good health. Thank you for your concern.”

A video that has since gone viral showed Mr. Odinga posing with the winning team, Kariobangi Sharks, at the stadium waiting to hand them the trophy.

Moments later, he appeared to stumble and was led from the arena by two of his security guards.

https://citizentv.co.ke/news/im-wel...ications&utm_campaign=onesignal_notifications

Tunampenda Aguambo hakuna kitu itaharibika, wala msihofu jirani...
 
Back
Top Bottom