Video: Padri ampiga mtoto kofi

Video: Padri ampiga mtoto kofi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
 
Yesu alisema waacheni watoto wadogo waje kwangu, padri anawatia mikofi watoto. Shenzi sana huyu padri

Baba kaamua kumpokonya padri mtoto
 
Back
Top Bottom