VIDEO: Pale unapolazimika kula vyakula vya kichina kama Nyoka mgahawani China

VIDEO: Pale unapolazimika kula vyakula vya kichina kama Nyoka mgahawani China

lol vinakua vimeungwa vizuri kiasi kwamba huwezi jua ni nyokaa ama inakuaje???

Kuna kitu kinaitwa hot plate... yule nyoka au chura au anything kinakuja pale huwezi tambua ni kitu gani unweza dhani ni nyama ya kuku...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom