VIDEO: Paschal Mayalla pole sana kwa yaliyokukuta baada ya Swali lile

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306

Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja.
Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums.
Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!?
Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!?
Hufikirii kumuona Mama atusaidie.?
 
View attachment 3385287

Mpaka leo hajakaa sawa....watu walibatizwa kwa Moto hasa.
 
View attachment 3385287
Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja.
Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums.
Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!?
Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!?
Hufikirii kumuona Mama atusaidie.?
Pole sana Mr. Njaaa aka Mayala
 
Katika watu ambao sijawahi kuwaamini hapa JF ni huyo jamaa yenu.

Kuna watu wanajifanya kuonewa huruma lakini behind the scene ni chui Wala watu.
 
Back
Top Bottom