Mpaka leo hajakaa sawa....watu walibatizwa kwa Moto hasa.View attachment 3385287
Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja.
Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums.
Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!?
Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!?
Hufikirii kumuona Mama atusaidie.?
Pole sana Mr. Njaaa aka MayalaView attachment 3385287
Kaka kwanza kabisa nikupongeze na kukupa pole vyote kwa pamoja.
Kumbe kuna kipindi ulipitia moto wa tanuri. Aisee. Lakini wala hukutuambia hapa jamiiforums.
Sasa hukuona umuhimu wa kuomba msaada ili urejeshewe kampuni yako!?
Kumbe uliajiri na vijana.. 15. Je saizi wako wapi!?
Hufikirii kumuona Mama atusaidie.?
Hadi leo huwa anadeal na Lissu kiaina.Katika watu ambao sijawahi kuwaamini hapa JF ni huyo jamaa yenu.
Kuna watu wanajifanya kuonewa huruma lakini behind the scene ni chui Wala watu.