Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Penzi kati ya Harmonize na mwanadada Poshy Queen linaendelea ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii.

Harmonize amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost Video akiwa Kanisani na mpenzi wake Poshy Queen.

Your browser is not able to display this video.


Ikumbukwe kuwa Harmonize ni Muislamu kiimani na Baba yake mzazi ni Ostadhi.

✍️ Mjanja M1
 
Kanisani kabisa mna Muda hata Kwa kuji rekodi?
Aisee,Mungu atusaidie
 
Harmonize ni ithibati kuwa unaweza kumtoa mshamba kutoka ushambani lakini abadan huwezi kuutoa ushamba ndani ya mshamba.

Harmonize ni limbukeni wa maisha na mapenzi haijalishi kiasi gani cha pesa atapata ama exposure daima atabaki kuwa mluga mluga.
 
Nyie mnajuana wenyewe mkikata huko salon mnayosimuliana. Sisi wanaume hayatuhusu.
 
Jamaa kila tawi analolirukia anatakiwa ajitwishe msalaba wake i.e kila mwanamke ampataye anakuwa mkristu!Sasa sijui safari hii atapatiwa jina gani tena?
Naye ukimchunguza anapenda wakristo mchuguze coz akiwa na muislam mwenzake utaona siku mbili anabwaga , wapo wengi sasa hivi wanagombania mademu wa kikristo na mademu wa kiislam wanalalamika coz ndoa zimekuwa almas kwao ni adimu wengine wanalogana😂😂😂 mfano jux naye hivyo hivyo halafu ukichunguza wakristo wanaowa wakristo wenzao ila waislam wengi hawataki kuowa waislam wenzao chunguza
 
Ngoja nikae mwenyewe kama kamati ya mtu mmoja nilichungulie hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…