Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

Muziki ni mgumu sana aisee yote hii ili kuongelewa
 
Jokes aside, Harmo alivyotoka wasafi alijitahidi sana kupush akafanya vizuri na akaendelea kuwa relevant. Lately amekuwaje? Amepatwa na nini kimuziki......?

Management yake Iliangalie hili, Imsaidie asipoteze focus.
 
A

Amechagua "miki" dada.

Nilitaka nipasuke lkn...wajua nakuheshimu😂
 
Wapi mnafeli mkuu
Roho mbaya kiasi kwamba mimi nikitoboa nitahakikisha asiwepo mwingine zaidi yangu ili niogopeke na kuheshimiwa na nikimuona hata ndugu yangu wa tumbo moja anataka kufanikiwa namtia majungu na uchawi mpaka afeli ili nibaki mimi tu
 
Hii mbaya sana mkuu, ipo kwa makabila mengi sana Tanzania sio Makonde tu
 
Huyu kondeboy anataka bakora akili zimkae sawa asirudie hii ya kuburuzwa na mwanamke kanisani
 
kwa makanisa haya ya sasa hivi sioni tatizo kwa mtu asiye mkristu kuingia ndani.

makanisa ya kisasa hayana utukufu, mengi yamenajisiwa na wakristo wenyewe kwa mambo mbalimbali ikiwemo uasherati, ubadhirifu, chuki nk.
 
Ni kawaida Ukiwa unafukuzia mchongo unaingia popote baada ya kukamilisha unachotaka unaanza kukaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…