Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

Waafrika wenzangu, ngozi nyeusi...Hizi dini tuliletewa tu aise, tulizaliwa tukazikuta na tutakufa tukiziacha pia hivyo tusijifanye kuwa sisi ndio waasisi wa hizi dini....Dini sisitufanye tukawa wajinga, wenye chuki na wenye wivu pia.


Kila mtu aishi maisha yake as long as hamkosei mwingine.
 
fahamu muislamu hakatazwi kuingia kanisani,kwani wakristo ni ahly al kitab,ni marafiki wa kitabu
 
Harmonize ni ithibati kuwa unaweza kumtoa mshamba kutoka ushambani lakini abadan huwezi kuutoa ushamba ndani ya mshamba.

Harmonize ni limbukeni wa maisha na mapenzi haijalishi kiasi gani cha pesa atapata ama exposure daima atabaki kuwa mluga mluga.
inawezekana ni limbukeni lakini kuingia kanisani hana kosa
 
Sijui ni kwanini huyu jamaa ulimbukeni na ushamba haumuishi.
 
Bangi ukichanganya na mahubiri muda hautoshi kabisa, tunaomba tuongezewe kidogo.
 
Pia wakristo hawapendi kuolewa na wakristo wenzao ndio maana hujirengesha kwa wanaume wa kiislam wakidai kuwa waislam wanajua kuhudumia mwanamke.
 
Mtaalam wa kula kilicholiwa
 
Pia wakristo hawapendi kuolewa na wakristo wenzao ndio maana hujirengesha kwa wanaume wa kiislam wakidai kuwa waislam wanajua kuhudumia mwanamke.
Acha unafiki wewe chunguza utagundua wakristo wanapenda kuowa au kuolewa na wakristo wenzao ila nyie ndio mnaongoza kutaka kuowa wakristo na mbaya zaidi wakristo hukacha mahusiano hayo ingia hata mitandao ya mahusiano fb nk ujionee , utaona wakristo wengi wanatafuta wachumba na kusema wawe wakristo tofauti na nyie
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…