Video: Pep Guardiola akasirika kufuatwa nyuma na mwafrika akiendesha Baiskeli

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi!

Ukizingatia jamaa hapendi waafrika hili tukio lilimuudhi sana.

Mmatumbi mmoja akiendesha Baiskeli alimuona Pep Guardiola kocha wa Manchester City akiendesha Baiskeli usiku wa manane akashikwa na mihemko na kuanza kumfukuzia kwa nyuma na kumtaka asimame wapige nae picha.

Pep alimaindi sana na kusimamisha Baiskeli na kushangaa jamaa vipi.

Video hapo chini

 
Inafahamika wazi Pep hapendi Waafrika. Hata Etoo na Yahya Toure walishawahi kulalamika. Sasa hivi Mancity wote wazungu baada ya Gabriel Jesus na Raheem Sterling kuuzwa na Fernandinho kurudi Brazil.

Kitendo hichi kilimuudhi sana Pep hata ukiangalia usoni mwake.

Halafu huyo nigger kiingereza chake bana.
 
Ulitaka afanye nini?
 
Acha kukariri. Pep sio mbaguzi kama wengi mnavyodai. Pep alipopewa barcelona kulikuwa na wachezaji weusi kama watatu au wanne. Abidal, Keita na Yaya Toure.
Akamuuza Deco kumpa nafasi Andre Iniesta. Akamuuza Yaya Toure kumpa nafasi Captain Sergio Busquet. Keita aliondoka baada ya kuona hapati nafasi ya kucheza. Abidal afya yake ilikuja kuwa mbovu baada ya kuugua ini....
Pep sio mbaguzi. Mnampakazia. Kwani kubaguliwa kunakuwaje? Hivi ukimbagua mtu kama Neymar, Kante, Sadio Mane, Rudiger, Depay kuna make sense kweli? Wakati kila week wanajaa kumwangalia Mane akifunga magoli, Neymar akiwapiga dribbling za hatari na kina Rudiger wakiwapiga mikasi ya kufa mtu. Kante akiwakatia umeme. Watu wa hivi unawabaguaje? Timu ya taifa ya ufaransa zaidi ya nusu ni mablack wanabeba makombe ya dunia, euro na matakataka yote yanayokuja mbele zao. Unawabaguaje?
 
Huyo atakua mjamaica mana sio kwakiingereza hicho.Afu jamaa sijui mvuta bangi Hata ningekua mimi ningekausha,hata hajatumia lugha nzuri duh yan kama anamwambia muhuni mwenzake.
 
Yaani huyo Mmatumbi kama taahira eti "i just want a picture bro" mtu hujui ana stress gani unamkimbilia kutaka picha kilazima bila hata kuomba.... Mashabiki mnatakiwa mjue hao Watu maarufu ni Binaadam pia, wanahisia kama nyie.
 
Sijaoja ubaguzi kwenye video.. sometimes -ve perception inaweza kukupoteza
 
Hiyo hata ungekua wewe muanzisha uzi ndio umechukua nafasi ya Pep usinge react vizuri.

Kwanza ni usiku, kisha mtu anakuchase kama hivyo. Ukizingatia yeye ni maarufu. Si rahisi kumuamini mtu kiasi hicho. "What if jamaa akawa na dhamira nyengine" lingekuja hilo swali akilini kwako kama wewe ni Pep.

Hata hivyo sioni kama Pep ameact weird kwenye hiyo video. Punguzeni negativity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…